|
Swahili
|
Swahili
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Edward Josaphat Qorro
Senior Editor
Senior Editor
Makala za Mwandishi
Kimnyole Arap Turukat: Shujaa na mtabiri kutoka milima ya Nandi nchini Kenya
Jamii ya Wanandi ilisifika kama jeshi imara, chini ya uongozi wa Kimnyole, licha ya ugomvi wa mara kwa mara jamii ya Wamasai katika miaka ya 1870.
2 dk kusoma
Wafahamu wagombea nafasi ya ukurugenzi ndani ya WHO Afrika
Kifo cha Mtanzania, Dkt. Faustine Ndugulile, kililazimu nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, kupendekeza majina mapya ya wagombea ambao watawania nafasi iliyoachwa wazi na mtaalamu huyo wa afya.
2 dk kusoma
Kutana na watengeneza filamu kutoka Tanzania wanayoipeleka tasnia hiyo kimataifa
Kwa sasa, gumzo kubwa Afrika Mashariki na barani Afrika kwa ujumla, ni filamu ya Wa Milele?, ambayo imeibuka mshindi wa kipengele cha ‘Kipindi Bora cha Maisha Halisia’ katika tuzo za Africa Magic Viewers Choice (AMVCA).
2 dk kusoma
Kwa nini uchaguzi wa papa hugubikwa na usiri?
Makadinali hufungiwa ndani ya kanisa na kunyang’anywa vifaa vyao vya mawasiliano ili kuwaepusha kufanya mawasiliano na ulimwengu wa nje ikiwemo waandishi wa habari.
2 dk kusoma
Wafahamu makardinali kutoka Afrika watakaoshiriki kumchagua Papa mpya
Makardinali watakutana Vatican mwanzo wa mwezi Mei 2025 kumchagua mrithi wa Papa Francis. Kati ya makardinali 135 wenye uwezoi wa kushiriki uchaguzi, 18 wanatoka Afrika.
3 dk kusoma
Sanaa za maonesho zinavyosaidia wakimbizi wa Burundi kurejea makwao
Serikali ya Tanzania imekuwa ikitoa hifadhi kwa zaidi ya wakimbizi zaidi ya 110,000 kutoka Burundi, ambao wanaishi kati kambi za Nyarugusu na Nduta zinazopatikana katika mkoa wa Kigoma.
4 dk kusoma
Kisa cha Kinjekitile Ngwale na vuguvugu la Maji Maji wakati wa mapambano dhidi ya Wajerumani
Aliibuka mtu mmoja, aitwaye Kinjekitile Ngwale, Mmatumbi aliyezaliwa katika kijiji cha Ngarambe, ambaye aliwaaminisha watu kuwa alikuwa na uwezo wa kuwadhibiti Wajerumani kwa ‘imani za kishirikina’.
3 dk kusoma
Ni wakati wa nchi za EAC kutafuta ‘masoko mapya’ baada ya sera za ushuru wa serikali ya Marekani?
Maamuzi hayo yameshtua mataifa mengine huku kukiwa na hofu ya kuvurugika kwa mfumo wa uchumi duniani.
4 dk kusoma
Kuni Poa, nishati safi na salama kwa mazingira
Matumizi ya nishati safi ya kupikia ni ajenda mahususi ambayo imechukua nafasi kubwa katika Sera, Mipango na Mikakati ya Serikali mbalimbali duniani kwa sasa.
4 dk kusoma
Kidum Kibido: Safari ya kutoka vitani hadi Jukwaani
Kidum anakumbuka namna vijana wa rika lake walivyolazimika kuingia jeshini ili kutetea jamii zao, na yeye kuamua kukimbilia nchini DRC kabla ya kurudi tena Burundi kuendelea na masomo yake.
3 dk kusoma
1
2
3
4
5
6