|
Swahili
|
Swahili
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Edward Josaphat Qorro
Senior Editor
Senior Editor
Makala za Mwandishi
Ujerumani kutoipa Rwanda misaada kufuatia machafuko ya DRC
Tayari, Rwanda imeshafahamishwa na Ujerumani kuhusu mpango huo.
1 dk kusoma
Uturuki ni umuhimu kwa amani ya Ukraine, urekebishwaji wa usalama wa Ulaya— Fidan
Kulingana na mwanadiplomasia huyo mkuu nchini Uturuki, mambo yanayoendelea kwa sasa yanatoa picha tofauti ndani ya Umoja wa Ulaya, hususani msimamo wa Marekani kuhusu vita nchini Ukraine.
2 dk kusoma
Ofisi ya Shirika la Mpango wa Chakula Duniani kwa upande wa Afrika yafungwa
Uamuzi huo uliwasilishwa kwa njia ya barua pepe na Mkurugenzi Mtendaji wa WFP ulimwenguni Cindy McCain, siku ya Ijumaa.
1 dk kusoma
Trump: Zelenskyy hayuko tayari kuona amani inapatikana
Donald Trump amekatisha mazungumzo yake na Volodymyr Zelenskyy kuhusu kumaliza vita na Urusi na mpango wa Marekani kuhusu madini adimu nchini Ukraine.
2 dk kusoma
Trump kukifanya Kiingereza lugha rasmi nchini Marekani
Kati ya majimbo 50 nchini Marekani, ni majimbo 32 tu ambayo yamepitisha Kiingereza kama lugha yao rasmi, kulingana na ‘ProEnglish’, taasisi yenye kuunga matumizi lugha ya hiyo.
1 dk kusoma
Uturuki yaitarajia Umoja wa Ulaya kuchukua hatua madhubuti kuimarisha mahusiano— Erdogan
Uhuishaji wa mahusiano kati ya Ankara na Umoja wa Ulaya ni wa manufaa wa pande zote mbili, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alimueleza Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Antonio Costa.
1 dk kusoma
1
2
3
4
5
6