Afrika
Algeria yatoa rambirambi kwa Morocco, yafungua anga kufuatia tetemeko la ardhi
Algeria na Morocco ni wapinzani wa kikanda wenye uhusiano unaokabiliwa na mzozo kuhusu Sahara Magharibi. Algeria ilivunja uhusiano wa kidiplomasia na Morocco Agosti 2021, ikiishtaki kwa kuwa na "mwelekeo wa uhasama", huku Rabat ikikataa vikaliMichezo
Shilingi milioni 500 kwa Taifa Stars kwa kufuzu Afcon
Tanzania ilifuzu kwa fainali zijazo za Kombe la Mataifa ya Afrika Ivory Coast mwakani baada ya kuwabana wenyeji Algeria 0-0 mjini Annaba Alhamisi usiku huku ikiwa ilihitaji sare pekee au ushindi ili kufuzu kwa fainali za mataifa bingwa AfrikaMichezo
Taifa Stars au Uganda? Tiketi iliyosalia kutua AFCON yafufua uhasimu kati ya majirani
Michuano ya mwisho ya Kundi F kufuzu kwa Kombe la Mataifa bora Afrika AFCON 2023, imeibua hamasa kali kati ya Uganda na Tanzania. Kila mmoja ana nafasi ya kufuzu, au kwenda nyumbani kwani ni tiketi moja pekee iliyobaki kufika Côte d'IvoireTürkiye
Marais wa Uturuki na Algeria wafanya mazungumzo ya pande mbili mjini Istanbul
Viongozi wa Uturuki na Algeria, Erdogan na Tebboune, wameshiriki katika mazungumzo muhimu katika ikulu ya Dolmabahce mjini Istanbul, yakilenga kuimarisha ushirikiano wa pande mbili na kushughulikia masuala muhimu ya kikanda na kimataifa
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu