Türkiye
Uturuki inasherehekea kumbukumbu ya miaka 15 ya Jumuiya ya Mataifa ya Kituruki
Baraza la Mataifa ya Kituruki, linalojumuisha Azerbaijan, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Uturuki, Uzbekistan, na wanachama 3 waangalizi, linalenga kuunganisha ulimwengu wa Kituruki kupitia maadili ya pamoja ya kihistoria na kitamaduni.Türkiye
Marais wa Uturuki na Azerbaijan wakutana mjini Nakhchivan kwa mazungumzo
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amewasili Azerbaijan kufanya mazungumzo na mwenzake Ilham Aliyev kujadili mahusiano baina ya nchi hizo mbili, pamoja na masuala ya kikanda na kimataifa, hususan maendeleo ya hivi karibuni huko Karabakh.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu