Afrika
Mkutano wa wakuu wa nchi EAC wa mabadiliko ya tabia nchi na usalama wa chakula waanza Tanzania
Mwenyekiti, wa Wakuu wa nchi na Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye, Rais Suluhu Samia wa Tanzania, Rais William Ruto wa Kenya na Waziri Mkuu wa Rwanda Edouard Ngirente ni miongoni mwa wakuu wa nchi walioko Arusha
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu