Afrika
Jamii inavyochukua hatua kuwaokoa punda nchini Tanzania
Licha ya umuhimu wao kwenye shughuli za kila siku za binadamu, Afrika imeshuhudia idadi kubwa ya punda wakichinjwa sio kwa ajili ya nyama yake tu, bali ongezeko la mahitaji ya ngozi ya mnyama huyo kwa ajili ya kutengenezea dawa barani Asia.Türkiye
Polisi wa Uturuki wamewakamata watu 6 kwa madai ya ujasusi kwa Wachina kuhusu Uighurs
Operesheni ya Jumanne ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea kuhusu ugaidi na uhalifu uliopangwa, kwani vyanzo vya mahakama vinafichua kwamba washukiwa saba walikusanya taarifa za watu binafsi na mashirika kutoka Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uighur.Uchambuzi
Tafsiri na ukuaji wa lugha: Jinsi zana za teknolojia zinavyotumika
Jinsi ukuaji wa teknolojia unavyosababisha kuchukua jukumu la Watafsiri wa kitaalamu wa lugha Barani Afrika ambao wanafanya kazi katika Kutafsiri zaidi ya lugha 2,000 kwa sasa wanatumia ukuaji wa teknolojia kwenye kazi zao.Ulimwengu
China itafanya kila iwezalo kuchangia katika maridhiano kati ya Palestina na Israel
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi anasema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lazima litekeleze jukumu lake, jumuiya ya kimataifa inapaswa kuchukua hatua mara moja, na mataifa makubwa yanapaswa kudumisha usawa na kutopendelea.Afrika
Viongozi wa Afrika kushiriki mkutano wa kimataifa wa ukanda na barabara nchini China
Mkutano wa ukanda na barabara kwa ushirikiano wa kimataifa unaoandaliwa na Serikali ya China kuanza rasmi Jumanne huku wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 130 na mashirika 30 ya kimataifa wakishiriki mkutano huo Beijing.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu