Türkiye
Uturuki inatarajia Israel kuchukua hatua kama Hamas inavyokubali pendekezo la kusitisha mapigano
Rais wa Uturuki Erdogan anatoa wito kwa wahusika wa nchi za Magharibi kuishinikiza serikali ya Israel kukubali makubaliano ya kusitisha mapigano baada ya Hamas kutangaza kuwa imekubali makubaliano hayoUlimwengu
Vyuo vikuu vya Uturuki vyaunga mkono maandamano ya Wapalestina katika vyuo vikuu vya Marekani
Taarifa ya pamoja ya vyuo vikuu 16 inasema kwamba mwitikio usio na uwiano kwa maandamano ya amani ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani ni "pigo kwa haki za kimsingi za binadamu na uhuru wa kitaaluma.Afrika
Zanzibar: Watalii kutoka Israel wakerwa na ujumbe wa kuiunga mkono Palestina
Wageni wanne kutoka Israel wamelazimika kuihama hoteli ya Canary Nungwi iliyoko visiwani Zanzibar, Tanzania baada ya kutofurahishwa na ujumbe wa kuiunga mkono Palestina uliowekwa kwenye moja ya magari yaliyopaki hotelini hapo.Ulimwengu
UN yatoa wito wa uchunguzi wa kuaminika kuhusu shambulio la timu ya TRT kule Gaza
Vita vya Israeli dhidi ya Wapalestina maeneo ya Gaza — sasa vikiwa siku yake ya 189 — vimeua takribani Wapalestina 33,545 na kujeruhi wengine 76,094 huku Baraza la Usalama la UN likishindwa kufikia makubaliano kuhusu ombi la Palestina la uanachama
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu