Türkiye
Erdogan: Uteuzi wa mkuu wa NATO kuongozwa na 'hekima ya kimkakati'
Katika mkutano wa waandishi wa habari akiwa na Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anasema Uturuki ina matumaini ya kuongeza kiasi cha biashara kutoka dola bilioni 15 hadi dola bilioni 20.Türkiye
Ankara inategemea Sweden itatimiza majukumu yake chini ya mkataba wa pande tatu
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na Waziri Mkuu wa Sweden Ulf Kristersson walibadilishana maoni kuhusu “mchakato wa kujiunga kwa Sweden na NATO, mapambano dhidi ya ugaidi, mahusiano kati ya Uturuki-Sweden...”Afrika
Bunge la Uturuki laongeza muda wa kazi wa vikosi vya wanamaji Ghuba ya Aden kwa mwaka mmoja
Vikosi vya Wanajeshi wa Uturuki vinapeleka wanajeshi wake katika Ghuba ya Aden, maji ya eneo la Somalia, na Bahari ya Arabia kwa mwaka mwingine ili kuhakikisha usalama wa meli za kibiashara zenye bendera ya Uturuki zinazosafiri katika eneo hilo.Türkiye
Hakan Fidan: EU inaona Uturuki kama mpinzani badala ya mshirika
Wakati kamati ya pamoja ya Uturuki-EU inatoa wito wa kuongezeka kwa mazungumzo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan, amehimiza EU kuondoa "ukosefu wa maono ya kimkakati yanayosababishwa na maslahi ya kibinafsi ya baadhi ya wanachama wake."
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu