Michezo
Kushindwa kwa FIFA kuchukua hatua dhidi ya Israeli kunaonyesha hali ya ufisadi wa kimaadili, kisiasa
Shirikisho la soka duniani liliizuia Urusi kushiriki katika mchezo huo ndani ya wiki chache baada ya kuishambulia Ukraine, lakini inchukua muda kutekeleza hatua kama hio dhidi ya Israeli. Kwa nini?Ulimwengu
Uamuzi wa kihistoria wa ICJ unatangaza ukaliaji wa mabavu wa Israeli Palestina ni kinyume cha sheria
Mahakama ya ICJ imeamua kwamba maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu ni eneo moja na kwamba hatua za Israeli, ikiwa ni pamoja na upanuzi wa makazi na unyonyaji wa rasilimali, ni uvunjaji wa sheria za kimataifa na mikataba ya haki za binadamu.Türkiye
Erdogan atoa wito wa umoja, mshikamano dhidi ya ugaidi katika mkutano wa NATO
Erdogan anatoa wito wa mshikamano katika masuala muhimu kama vile mzozo kati ya Urusi na Ukraine na ugaidi, huku akisisitiza mageuzi katika sekta ya ulinzi na kupigania kupatikana kwa suluhisho la mataifa mawili huko Palestina.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu