Ulimwengu
Nusu ya wakimbizi duniani wamenaswa katika mgogoro wa hali ya hewa : UN
Ethiopia, Haiti, Myanmar, Somalia, Sudan na Syria miongoni mwa nchi hizo, inasema ripoti ya UNHCR - Ifikapo mwaka 2040 idadi ya nchi zinazokabiliwa na hatari zinazohusiana na hali ya hewa inatarajiwa kuongezeka kutoka tatu hadi 65, ripoti inasema.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu