Ulimwengu
India: Je, diplomasia ya Modi inaweza kusawazisha kati ya Urusi, Ukraine na Magharibi?
Macho yote yako kwenye ziara ya Waziri Mkuu wa India mjini Kiev wiki hii ili kuona kama anaweza kuendelea kusawazisha uhusiano wa Urusi na nchi za Magharibi. Hapo awali Modi hajawahi kulaani vita vya Urusi dhidi ya Ukraine.Michezo
Kushindwa kwa FIFA kuchukua hatua dhidi ya Israeli kunaonyesha hali ya ufisadi wa kimaadili, kisiasa
Shirikisho la soka duniani liliizuia Urusi kushiriki katika mchezo huo ndani ya wiki chache baada ya kuishambulia Ukraine, lakini inchukua muda kutekeleza hatua kama hio dhidi ya Israeli. Kwa nini?
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu