Afrika
Rwanda: Maambukizi ya Marbug yapungua kwa asilimia kubwa
Waziri wa Afya Dr Sabin Nsanzimana, asema kupungua kwa maambukizi ya Marburg kwa 92% ni ishara kuwa ugonjwa huo unaenda kwisha. Huku Mkuu wa Shirika la WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, aipongeza Rwanda kwa juhudi za kukabiliana na maambukizi hayo.Afrika
Kenya kusitisha makubaliano na madaktari wa Cuba: Waziri wa Afya
Serikali ya Kenya imetangaza rasmi kuwa haitaongeza muda wa makubaliano kati yake na madaktari wa Cuba ambao wamekuwa nchini Kenya. Mwaka 2017 serikali za nchi hizo mbili zilipoafikiana madaktari 100 wa Cuba kutoa huduma katika hospitali za Kenya.
Maarufu
Makala maarufu