Kuokoa Tembo kwa kuvuka mpaka

Kuokoa Tembo kwa kuvuka mpaka

Tunahimiza jamii zinazoishi karibu na mbuga kuwa na njia za kusuluhisha maswala haya ya migogoro ya kibinadamu na wanyamapori kwa sababu wakati tunapoanza kuonyesha ulimwengu kuwa kuna vita, hatuwezi pia kuwa na watalii. ---- Ni Jim Justus Nyamu. Mkurugenzi Mtendaji, ‘Tembo Neighbor Center’ Mimi pia ndiye kiongozi wa kampeni hii, inayoitwa, ‘Pembe za Ndovu ni za Tembo’.