Utajiri wa Afrika: Sokwe mtu waongezeka

Utajiri wa Afrika: Sokwe mtu waongezeka

Idadi ya sokwe mtu inaendelea kuongezeka barani Afrika. Chini ya miongo mitatu iliyopita kumekuwa na idadi ya sokwe mtu wa milimani 680, lakini sasa habari njema ni kuwa, idadi hiyo imeongezekahadi kufika zaidi ya 1000. Wanapatikana Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda.