Tanzania yapokea wanafunzi wakimbizi

Tanzania yapokea wanafunzi wakimbizi

Tanzania imewapokea wanafunzi wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini Sudan ili kukamilisha mwaka wao wa mwisho wa masomo ambao unahitaji mafunzo ya vitendo.