Ulimwengu
Chuo kikuu kinalenga wanafunzi kama mimi kwa kuandamana dhidi ya Israeli
Chuo Kikuu cha George Washington kinadai kuwa kinara wa uhuru wa kujieleza, lakini hadi sasa kimeamuru kukamatwa kwa watu wengi, kusimamisha vikundi vinayounga mkono Palestina ndani ya chuo na kuanzisha kesi za kinidhamu dhidi ya wanafunzi wengi.Maisha
Melisa, kutoka mhudumu wa usafi hadi mwanafunzi wa udaktari
Melisa Metin, ambaye amekuwa mfanyakazi wa usafi katika Chuo kikuu Cha Inönü Turgut Özal nchini Uturuki, amegeuka kuwa mwanafunzi na kuanza masomo katika Chuo Kikuu hicho baada ya kufanikiwa katika mtihani wa Taasisi za Elimu ya Juu (YKS)
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu