Ulimwengu
Israel yawaua Wapalestina 11 kaskazini, kusini mwa Gaza
Vita vya mauaji ya halaiki ya Israel dhidi ya Gaza, vilivyo katika siku yake ya 344 sasa, vimeua Wapalestina 41,118 na kuwajeruhi wengine 95,125 - makadirio ya kihafidhina - huku 10,000+ wakiaminika kuzikwa chini ya vifusi vya nyumba zilizoangamizwa.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu