Changamoto za watu wenye ulemavu wa ngozi Gambia

Changamoto za watu wenye ulemavu wa ngozi Gambia

Ulemavu wa ngozi ni hali ya kimaumbile, lakini nchini Gambia, kama nchi nyingine nyingi za Afrika, wengi waliozaliwa nao wanabaguliwa. Sasa juhudi zinafanywa kusahihisha dhana potofu kuhusu hali hii isiyo na madhara, ya kurithi.