Kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote

Kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote

Nchi za Afrika zinajifunza kutokana na makosa yao baada ya uhuru, kuhusiana na usambazaji wa nishati na kujenga utegemezi wao wenyewe bila kutegemea nchi za Magharibi. Nchi kama Uganda na Tanzania zina akiba yao ya mafuta na huenda hata wana mipango ya kufanya hivyo pia. Hiki ndicho Kiwanda kipya cha kusafisha mafuta cha Dangote