Türkiye
Marais wa Uturuki na Brazil wajadili maendeleo katika mzozo wa Palestina
"Hakuna nchi inapaswa kuongeza mafuta kwenye moto, na hatua madhubuti zinapaswa kuchukuliwa na wote kuhusu misaada ya kibinadamu," Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alimwambia mwenzake wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva kwa njia ya simuUlimwengu
Ni mataifa manne pekee yanayofanya vya kutosha kuzuia uvutaji sigara: WHO
Nchi nne pekee - Brazil, Mauritius, Uholanzi na Uturuki -- zimepitisha hatua zote za kupinga tumbaku zilizopendekezwa katika vita dhidi ya "janga baya" la uvutaji sigara, Shirika la Afya Ulimwenguni lilisema Jumatatu.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu