Ulimwengu
Mashambulio ya Israeli huko Rafah hayataondoa Hamas: Blinken
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken anatahadharisha juu ya matokeo ya mashambulizi makubwa ya Israel huko Rafah, akitaja hatari ya "machafuko," huku akikiri kwamba majeshi ya Israel yameua raia zaidi ya wapiganaji wa Hamas.Türkiye
Uturuki inatarajia Israel kuchukua hatua kama Hamas inavyokubali pendekezo la kusitisha mapigano
Rais wa Uturuki Erdogan anatoa wito kwa wahusika wa nchi za Magharibi kuishinikiza serikali ya Israel kukubali makubaliano ya kusitisha mapigano baada ya Hamas kutangaza kuwa imekubali makubaliano hayoTürkiye
Viongozi wa Israel wanapaswa kujibu kuhusu watoto wachanga waliouawa huko Gaza - Erdogan
Rais wa Uturuki Erdogan atoa wito wa kuundwa taifa huru la Palestina kama njia pekee ya kulipa deni kwa watoto wa Kipalestina waliouawa kwani vita vya Israel vinaua zaidi ya Wapalestina 31,000 wengi wakiwa wanawake na watotoUlimwengu
Mgomo wa kupinga vita vya Israel dhidi ya Gaza wapooza Ukingo wa Magharibi
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza iliyozingirwa - sasa katika siku yake ya 66 - yamesababisha idadi mbaya ya Wapalestina 17,997 waliouawa, zaidi ya 49,200 kujeruhiwa na maelfu wakihofiwa kuuawa chini ya vifusi vya majengo yaliyolipuliwa.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu