Türkiye
Erdogan: Uturuki na Ugiriki kuimarisha ushirikiano wa kukabiliana na ugaidi
Ankara na Athena zimejitolea kutatua maswala kati yao kwa 'mazungumzo mazuri, uhusiano mzuri wa ujirani, sheria ya kimataifa,' Erdogan asema katika mkutano wa pamoja na waandishi wa habari na Waziri Mkuu wa Ugiriki Mitsotakis.Türkiye
Ankara: Rais Erdogan wa Uturuki akutana na maafisa wa usalama wa Poland na Romania
Rais Erdogan amesema Uturuki inatarajia mshikamano kamili ndani ya NATO, akiwataka washirika kujizuia kuwekeana vizuizi, na kuachana na juhudi za kuitenga Ankara katika muktadha wa ushirikiano wa NATO na Umoja wa Ulaya.Türkiye
Erdogan: Uteuzi wa mkuu wa NATO kuongozwa na 'hekima ya kimkakati'
Katika mkutano wa waandishi wa habari akiwa na Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anasema Uturuki ina matumaini ya kuongeza kiasi cha biashara kutoka dola bilioni 15 hadi dola bilioni 20.Türkiye
Rais wa Uturuki Erdogan, Waziri Mkuu wa Kazakhstan wajadiliana mambo ya kikanda na ulimwengu
Rais wa Uturuki Erdogan amelalamikia jitihada za Israel kuendeleza mgogoro wa kikanda na kutaka kusitishwa kwa mashambulizi, na kupendekeza umoja wenye nguvu wakati wa utoaji misaada katika eneo la Gaza.Türkiye
Israel italipa gharama ya dhulma inayofanya huko Gaza - Erdogan
"Haijalishi nini kitatokea, sisi (Uturuki) tutaendelea kusimama kidete kukabiliana na mashambulizi ya kikatili ya Israel dhidi ya Gaza, na Israel hakika italipa ukatili huu," mkurugenzi wa mawasiliano wa Uturuki anamnukuu Rais Erdogan akisema.Türkiye
Rais wa Uturuki azungumza na mwenzake wa UAE kwa njia ya simu
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan afanya mazungumzo ya simu na Mohammed bin Zayed Al Nahyan wa UAE, akitoa salamu za siku yake ya kuzaliwa kwa kiongozi huyo wa Imarati na pongezi kwa mwanzo wa mwezi mtukufu wa Waislamu wa Ramadhani.Türkiye
Erdogan: Netanyahu ni Nazi wa wakati wetu kama Hitler, Mussolini na Stalin
Matukio katika Gaza tangu Oktoba 7 yameenda zaidi ya kile kinachoweza kuvumiliwa, anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, akisisitiza kujitolea kwa Uturuki kuhakikisha kwamba "wauaji hao," wanawajibishwa chini ya sheria za kimataifa.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu