3 Oktoba 2025
Shirika la afya Duniani WHO linasema kuna ishara ya kupungua kwa maambukizi ya Ebola DRC, Na kundi la Hamas linasema litajibu kuhusu mapendekezo ya Rais Trump kwa Gaza hivi karibuni