MAKALA MAALUM
Mpishi wa Nigeria akamilisha jaribio la Rekodi ya Dunia kwa chungu kikubwa zaidi cha wali wa jollof
Hii ni jitihada ya rekodi ya dunia ya mwisho ya Hilda Baci baada ya kufanikiwa kuingia katika vitabu vya rekodi mwaka 2023 kwa kuwa na maratoni ya uleaji mrefu zaidi na mtu binafsi.
SIASA
UTURUKI
AFRIKA
JARIDA
MAONI
MICHEZO
Makala kuu wiki hii
Viongozi wa Afrika, wasisitiza utelekezaji wa maazimio ya Mkutano wa Tabianchi uliofanyika Ethiopia
Viongoizi wa seriklai na wengine wa tabaka mbali mbali walikutana katika mkutano wa pili wa kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi uliofanyika jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia Septemba 8 hadi 10, 2025.
Kutoka Samsun hadi Somalia: Mwanafunzi wa Kituruki aliyejengea nchi yake chapa kuu ya manukato
Naima Salad anatafuta anapambana kuja na ubunifu wa kuweka harufu nzuri ya manukato katika maeneo ya biashara kama ofisi, hoteli na maduka.
Utekaji wa wafanyakazi wa misaada waongezeka mara mbili zaidi Sudani Kusini
Umoja wa Mataifa kwa muda mrefu umeitambua Sudani Kusini kama moja ya maeneo hatari kwa wafanyakazi wa misaada.
Kwa nini tafiti mpya za WHO zinasisitiza kuepuka mateso ili kuokoa mtoto
Adhabu ya kimwili katika shule imepigwa marufuku katika nchi nyingi za Afrika, lakini tafiti mpya za WHO zinaonyesha kuwa kuunganisha sheria na uhamasishaji pamoja na ushauri kunaweza kuondoa tatizo hili la kimataifa.
Somalia yafungua milango ya fursa kwa kutumia viza mitandao
Mfumo huu mpya unarahisisha utoaji huduma kwa wasafiri ndani ya taifa hilo.
By
Nuri Aden
Makala ya Siasa
Katiba imesaidia vipi kuimarisha demokrasia nchini Kenya?
Siku ya Kibinadamu Duniani: Sudan miongoni mwa nchi hatarishi zaidi kwa wafanyakazi wa misaada
Nini Rais Ruto afanye kutatua changamoto za vijana Kenya?
Wazir Khamsin
Panda shuka ya Luhaga Mpina ndani ya siasa za Tanzania
Mwanasiasa huyo alijizoelea umaarufu kama mmoja wa makada wa CCM majasiri wanaposimama kutoa hoja zao.
Na
Yusuf Dayo
Salum Mwalimu kutoa ushindani kwa Samia?
Katika kampeni zake, Salum Mwalim ameweka mkazo kwenye sekta ya kilimo, akiahidi kuiongezea nguvu kwa nia ya kuongeza uzalishaji wa chakula na kuwezesha kuwa na uhakika wa chakula na mazao ya biashara.
Na
Edward Josaphat Qorro
Mgawanyiko Sudan: Kwa nini serikali pinzani ni mbaya zaidi kuliko nchi iliyo kwenye vita
Kuundwa kwa serikali pinzani Sudan na wapiganaji wa RSF na washirika wake ni ishara ya matatizo zaidi kwa taifa ambalo tayari linakabiliwa na hali mbaya zaidi kwa watu duniani.
Hiragasy, sanaa inayorithishwa vizazi nchini Madagascar
Hiragasy ni maonyesho yanayojumuisha nyimbo, ngoma na hotuba.
Na
Coletta Wanjohi
Kocha wa uogeleaji Nigeria anayewafunza watoto wenye ulemavu kuogelea
Kocha wa uogeleaji nchini Nigeria anasaidia watoto wenye ulemavu kuwa mahiri kwa uogeleaji.
Na
Charles Mgbolu
Adha ya kutafuta matibabu nchini Afrika Kusini
Kulingana na Taasisi ya kimataifa ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF), uwepo wa wanachama wa “Operation Dudula”, umefikia zaidi ya nusu ya vituo vya afya 15 katika maeneo yaliyoathiriwa.
Na
Sylvia Chebet
Biashara ya kahawa nchini Uganda inazidi kushamiri
Nchi hiyo sasa imepita Ethiopia katika mauzo ya kahawa barani humo kulingana na ripoti za hivi punde za kahawa kutoka wizara ya kilimo nchini humo.
Waandishi
Morocco: Simba wa Milima ya Atlas fainali ya CHAN 2024
1 dk kusoma
Mgombea wa CCM Zanzibar: Hussein Ali Mwinyi
2 dk kusoma
Mgombea wa CCM Tanzania: Safari ya kisiasa ya Rais Samia Suluhu Hassan
2 dk kusoma
Kiongozi wa Togo Faure Essozimna Gnassingbe
2 dk kusoma
Kuna ulazima wowote kwa bibi harusi kuvaa shela jeupe?
Shela nyeupe ilianza kama ishara ya mtindo wa kifalme na likawa alama ya kitamaduni ya usafi na tabia njema. Hata hivyo, mambo yamebadilika.