|
swahili
|
swahili
SIASA
UTURUKI
AFRIKA
JARIDA
MAONI
MICHEZO
Kudra Maliro
Producer
Producer
Makala za Mwandishi
Rhumba ya DRC: Urithi wa Muziki Unaovuka Mipaka
Ni muziki unaovuka vikwazo vya kitamaduni na kijiografia, ukiugusa mioyo ya mamilioni ya watu kote duniani
5 DK KUSOMA
DRC kufunga mipaka yake wakati wa uchaguzi mkuu
"Ndege za ndani zimesitishwa, isipokuwa ndege za kimataifa katika viwanja vya ndege vya kimataifa", alisema Roland Kashwantale, Mkurugenzi Mkuu wa DGM.
2 DK KUSOMA
Vita vilivyosahaulika nchini DR Congo na kinyang'anyiro cha kutafuta madini
Takriban watu milioni sita wameuawa katika miongo kadhaa ya mapigano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na hali hiyo inazidi kutokuwa kipaumbele ya amani duniani
7 DK KUSOMA
Mashindano ya Bibi na Bwana kwa watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) kusini mwa Afrika yaondoa Unyanyapaa na Ubaguzi
Mashindano hayo ya kikanda ya Bwana na Bibi Albino yalifanyika katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare, mwezi huu na kuwakutanisha wagombea 18 kutoka nchi sita.
4 DK KUSOMA
'Charlie Chaplin' wa DRC ambaye anatumia Sanaa ya Vichekesho kueneza amani
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekumbwa na mizozo ya kivita kwa miaka mingi na kusababisha kiwewe na huzuni.
3 DK KUSOMA
Guérouwal: Kwa nini Niger ilighairi tamasha maarufu la Fulani
Sherehe hiyo inaheshimu urembo, umaridadi na urithi na inafanyika kuashiria kuanza kwa msimu wa mvua
3 DK KUSOMA
Gomesi: Nguo ya jadi ya wanawake wa Uganda yenye heshima
Katika ufalme wa Buganda hafla yoyote ya jadi haijakamilika bila wanawake kuvaa gomesi
3 DK KUSOMA
Burundi: Wizara ya Afya yatangaza mlipuko wa kipindupindu
Kulingana na Wizara ya Afya ya Burundi, angalau visa 15 vya kipindupindu vimeripotiwa katika sehemu ya magharibi ya nchi
2 DK KUSOMA
Viwavi: Chakula cha kipekee chenye ladha ya aina yake kilichoibuka Ili kukabiliana na hali ya utapiamlo nchini DRC
Chakula hicho ambacho kimewafanya watu wengi kuwa na uoga lakini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, wenyeji huvuna wadudu hao wakiwa na muonekano wenye michirizi kama kitoweo
4 DK KUSOMA
Tshisekedi ametenga dola milioni 200 kwa ajili ya kutoa huduma ya kujifungua bure nchini DRC
Rais Félix Tshisekedi amezindua, Jumanne ya tarehe 5 Septemba 2023, huduma ya kujifungua bure huko Kinshasa.
2 DK KUSOMA