|
swahili
|
swahili
SIASA
UTURUKI
AFRIKA
JARIDA
MAONI
MICHEZO
Gaure Mdee
Senior Editor TRT Afrika
Senior Editor TRT Afrika
Makala za Mwandishi
Tanzania: Panga Pangua ya Rais Samia
Lakini swali la baadhi kuondoka na kurudi, hilo linamaanisha nini hasa?
2 DK KUSOMA
Watu wasiojulikana waua watalii nchini Uganda, wachoma gari moto
Washambuliaji wasiojulikana wamewaua watalii wawili wa kigeni na raia mmoja wa Uganda katika Hifadhi ya Taifa ya Malkia Elizabeth
2 DK KUSOMA
Rais Ruto alikosoa Baraza la Usalama, asema ulimwengu 'unaelekea mwelekeo usiofaa'
Rais Ruto asema kushindwa kwa mifumo ya amani na usalama, maendeleo yasiyoridhisha, na hatua ndogo za mabadiliko ya hali ya hewa, katikati ya maendeleo ya teknolojia na utajiri mkubwa, imetuacha katika hali ya kushindwa
4 DK KUSOMA
"Njoro wa Uba" Ni kwa Jinsi gani onyesho hili la kushinda tuzo linavyoakisi ukweli na hali halisi
Madereva ambao wanajihusisha na biashara za programu za kuendesha gari wanakabiliwa na changamoto nyingi, kuanzia mapato yasiyo na uhakika na uchovu hadi masuala ya usalama na uchovu wa kimwili.
8 DK KUSOMA
Sembène: Kukumbuka 'baba wa sinema ya Kiafrika'
Ousmane Sembène alikuwa mwendeshaji wa filamu, mwigizaji, mwandishi wa skrini, na mwandishi wa tamthilia ambaye alihamasisha wengi barani Afrika na zaidi
5 DK KUSOMA
Tanzania na mpango wa kutumia magari yanayotumia umeme
Hii ina maana gani kwa Tanzania ikiwa ni nchi ya nne katika ukanda wa Afrika Mashariki kwa huduma hiyo ambayo inajitosa katika ubunifu wa mabadiliko ya tabia ya nchi
6 DK KUSOMA
Diwani na aliyenusurika Tanzania na taswira ya kutisha ya mlipuko wa Marburg
Huku kiwango cha vifo kikifikia asilimia 88, Marburg inatoka katika familia moja na virusi vinavyofanana na Ebola
4 DK KUSOMA
Kipenga kimepulizwa, chaguzi muhimu za kufatilia Afrika
Ni jambo linakubalika bila shaka kwamba uchaguzi ni uti wa mgongo wa demokrasia na ni wakati ambapo wananchi wanaweza kutumia haki na, baadae, fursa inayotolewa kwa raia na mfumo uliowekwa.
16 DK KUSOMA