| Swahili
Ushirikina una nafasi gani michezoni?
Michezo
Ushirikina una nafasi gani michezoni?
Unaruhusiwa kuziita ‘ndumba’, ‘kamati za ufundi’, ‘Sangoma’, Juju na majina mengi utakavyo, lakini ukweli unabaki pale pale, kuwa kuna uhusiano wa karibu kati ya michezo na imani za kishirikina.
 

Mara kwa mara, tumeshuhudia wanamichezo wakiingia viwanjani au hata ulingoni kwa mitindo tofauti. Wako wanaoingia kinyume nyume, wako wanaogusa ardhi, wapo wanaotazama juu; ili mradi kila aina ya mbwembwe, au mkwara kama wanavyoita vijana wa mjini.

 Utaratibu wa wanamichezo hawa ni maagizo kutoka kwa ‘wataalamu’, japo kuna wengine wanakuwa na mienendo ambayo hayaonekani kuwa kawaida wakiwa nje na ndani ya mchezo. Je, maagizo au matambiko yana mchango wowote katika kuwapa watu ushindi?

Tazama Video zaidi
Riadha: Wakimbiaji wakimbizi washikilia ndoto ya medali
Rodrigue Kwizera: Mrundi anayepigania nafasi yake katika jukwaa la riadha duniani
Sheila Chepkirui: Umeme mkali wa riadha Kenya anayeandika upya historia
Jacob Kiplimo mashine kali ya Uganda inayonguruma katika mbio ndefu
Nigeria yathibitisha maambukizi ya Ebola
Asili na umuhimu wa Mwenge wa Uhuru Tanzania
Eliud Kipchoge: Gwiji aliyevunja vivkwazo vya kibinadamu vya kukimbia
Kwa nini Trump amuandama Ilhan Omar?
Egide Ntakirutimana - mwanariadha anayesukumwa na nidhamu na ari
Gout Gout: Radi inayopiga ulingo wa mbio fupi