|
Swahili
|
Swahili
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Wazir Khamsin
Senior Editor, TRT Afrika
Senior Editor, TRT Afrika
Makala za Mwandishi
Khalid Aucho: Nahodha wa timu ya Uganda
Nahodha wa timu ya taifa ya Uganda ni Khalid Aucho ambaye kwa sasa anakipiga na timu ya katikati mwa Tanzania Singida Black Stars.
2 dk kusoma
Rais wa Sierra Leone: Julius Maada Bio
Unafahamu taifa la Sierra Leone lenye idadi ya watu milioni 9? Nchi hiyo iko Afrika Magharibi na Rais wake ni Julius Maada Bio.
2 dk kusoma
Bassirou Diomaye Faye: Rais wa Senegal
Basirou Diomaye Faye ni rais wa taifa la Senegal lililoko Afrika Magharibi. Taifa hilo lina watu takriban watu milioni 19.
2 dk kusoma
Mfahamu Ousmane Dembele wa PSG
Mchezaji Ousmane Dembele ni mshambuliaji anayeona mbele siku zote. Akikipiga na timu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa (PSG). Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa.
2 dk kusoma
Jaramogi Oginga Odinga: Baba yake Raila Odinga
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga alizikwa siku ya Jumapili nyumbani kwake magharibi mwa Kenya. Wengi wamemtaja kuwa mwanasiasa hodari, mzalendo na mwanamajumui.
2 dk kusoma
Alassane Ouattara wa Cote d’Ivoire
Alassane Dramane Ouattara ni Rais wa Cote d’Ivoire ambaye amekuwa rais wa taifa hilo la Afrika Magharibi tangu mwaka 2010 na hivi majuzi ametangaza kugombea tena katika uchaguzi wa Urais wa mwezi Oktoba.
2 dk kusoma
Rais wa Congo Denis Sassou Nguesso
Rais wa Jamhuri ya Congo Denis Sassou Nguesso kwa ujumla amekuwa kiongozi wa nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 40.
2 dk kusoma
Maisha ya mkali wa mieleka duniani Hulk Hogan
Watu mbalimbali duniani wamekuwa wakitoa salamu zao za rambirambi kufuatia kifo cha mkali wa mieleka WWE Hulk Hogan aliyefariki dunia siku ya Alhamisi akiwa na umri wa 71 kutokana na mshtuko wa moyo.
1 dk kusoma
Nini Rais Ruto afanye kutatua changamoto za vijana Kenya?
Maandamano ya Gen Z nchini Kenya yameibua maswali mengi, kubwa ikiwa utendaji kazi wa serikali lakini zaidi ahadi zilizotolewa na uongozi wa Rais William Ruto wakati wa kampeni za uchaguzi 2022.
3 dk kusoma
Sir Alex Ferguson: Shujaa wa Manchester United
Bila shaka unamkumbuka Sir Alex Ferguson au Babu Fergie wa Manchester United.
2 dk kusoma
1x
00:00
00:00