Turkish Airlines' "dream plane" in Trabzon / Photo: AA

Kampuni ya ndege Turkish Airlines ya rejesha safari za ndege kwenda Lusaka, Zambia baada ya kusitisha safari zake kwasababu ya ugonjwa wa Uviko 19.

Safari za Ndege kwenda Lusaka, Zambia tayari zmeanza na zitakuwa mara mbili kwa wiki kupita Dar Es Salam, Tanzania imeainisha ripoti ya kampuni hiyo.

Wasafiri wataruhusiwa kununua tiketi za kwenda na kurudi kwa dola za kimarekani $841 ikiwemo kodi na malipo mengine.

Turkish Airlines ni kampuni kubwa ya serikali ya Uturuki ikiwa na ndege 410 zikiwemo 289 safari za kimataifa na 53 safari za ndani.

TRT Afrika