Afrika
Rais Samia: Hatukuruhusu mikutano, ili watu watukanane
"Yeyote anayeitakia mema Tanzania, atakwenda kwa misingi hiyo. Hatakopa misingi ya anakotoka huko, ailete hapa atake tuitekeleze. Tuna mila, desturi na mambo yetu ya kitanzania na tutakwenda kwa misingi hiyo," rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Michezo
Shilingi milioni 500 kwa Taifa Stars kwa kufuzu Afcon
Tanzania ilifuzu kwa fainali zijazo za Kombe la Mataifa ya Afrika Ivory Coast mwakani baada ya kuwabana wenyeji Algeria 0-0 mjini Annaba Alhamisi usiku huku ikiwa ilihitaji sare pekee au ushindi ili kufuzu kwa fainali za mataifa bingwa AfrikaMaisha
Dar es Salaam: utulivu baada ya Polisi kuzuia maandamano yaliyopangwa leo
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, UVCCM, Mohamed Ali Kawaida (MCC), aliitisha maandamano kufanyika katika mji wa Dar es salaam na wilaya zote na ili kuitetea serikali dhidi ya hatua yake ya uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu