Afrika
Afrika na vita dhidi ya unene uliopita kiasi
Unene uliokithiri miongoni mwa watu wazima umeongezeka zaidi ya mara mbili tangu 1990 na kuongezeka mara nne miongoni mwa watoto na vijana, na kusababisha hali ya kutisha ambapo zaidi ya watu bilioni moja duniani kote sasa wameainishwa kuwa wanene.Ulimwengu
Shirika la Afya duniani WHO: Hospitali ya Al-Shifa, Gaza ni eneo la mauti
Zaidi ya Wapalestina 12,300, wakiwemo watoto 5,000 wameuawa, huku 29,000 wakijeruhiwa kwenye vita vya Israel dhidi ya Gaza. Zaidi ya Wapalestina 3,600, wakiwemo watoto 1,750, wamekosekana au kuzikwa chini ya vifusi vya majengo yaliyopigwa bomu.Afrika
WHO ililipa waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono DRC dola 250 kila mmoja, nyaraka za ndani zaonyesha
WHO imelipa dola 250 kila mmoja kwa angalau wanawake 104 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao wanasema walinyanyaswa kingono au kudhulimuwa na maafisa wanaofanya kazi kukomesha Ebola.Afrika
Emily Banyo: Mwanamke wa Uganda alietengeneza michezo ya chemsha bongo kwa ajili ya afya ya akili
Ubongo wa binadamu ni chombo changamani cha kutatua matatizo - wakati ukiwa umekwama au haujakwama na hali ya maisha ya siku zilizopo, zilizopita na za nyuma huku ukiwa unashughulika na kushughulikia mihangaiko ya siku zijazo.Ulimwengu
Ni mataifa manne pekee yanayofanya vya kutosha kuzuia uvutaji sigara: WHO
Nchi nne pekee - Brazil, Mauritius, Uholanzi na Uturuki -- zimepitisha hatua zote za kupinga tumbaku zilizopendekezwa katika vita dhidi ya "janga baya" la uvutaji sigara, Shirika la Afya Ulimwenguni lilisema Jumatatu.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu