29 Oktoba 2025
Raia wa Tanzania waanza kupiga kura ktika Uchaguzi Mkuu nchini humo. Na wahamiaji 18 wafariki baada ya boti kuzama katika pwani ya Libya.