28 Oktoba 2025
Kiongozi wa Sudan Abdel Fattah al Burhan anasema jeshi limeondoka Al Fasher
Watumishi wa umma visiwani Zanzibar wapiga kura ya mapema
Rais wa Cote’d Ivoire Alassane Ouattara ashinda muhula wa nne kwa 89.77%
Jeshi la Somalia lamuua kiongozi mwandamizi wa kundi la al-Shabaab
Timu ya Kenya, Nairobi United, yafuzu hatua ya makundi kwa kuifunga Etoile du Sahel ya Tunisia