| Swahili
Dondoo za TRT Afrika | 29 Januari
00:00
00:0000:00
Ulimwengu
Dondoo za TRT Afrika | 29 Januari
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limezipiga faini kubwa timu za taifa za Morocco na Senegal na Jumuiya ya ushirikiano wa mataifa ya Kiislamu,inaitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuipa Palestina uanachama kamili.
tokea masaa 7

Vichwa vya habari:

  • Shirikisho la CAF limezipiga faini kubwa timu za taifa za Morocco na Senegal

  • Jumuiya ya Ushirikiano wa Mataifa ya Kiislamu, inaitaka Baraza la UNSC kuipa Palestina uanachama kamili

  • Palestina yataka Israel iondoke kabisa Gaza ili amani ya kudumu ipatikane

  • Trump aitaka Iran kufanya majadiliano la sivyo itashambuliwa katika siku zijazo

  • Polisi na jeshi la Venezuela waahidi utiifu kwa rais wa mpito Rodriguez

Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika | 28 Januari
Janga la unene
Sura ya Waislamu katika Bollywood
Unaijua homa ya ndege?
Palestina ya Marekani
Lugha ya Hisia
Je, miaka ni nambari tu?
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Upweke