7 Januari 2026
Vichwa vya habari:
Umoja wa Afrika waitaka Israel kubatilisha utambuzi wa Somaliland
Umati wa waandamanaji Venezuela wataka kuachiwa mara moja kwa Rais Maduro
Umoja wa Ulaya kutomtambua rais wa mpito wa Venezuela
Kila kitu kinawezakana kuhusu kuchukuliwa kwa eneo la Greenland: Afisa wa Marekani
Ufaransa, Uingereza na Ukraine zaweka mipango ya kikosi cha kimataifa
