11 Desemba 2025
Vichwa vya habari:
Mbunge wa Jimbo la Peramiho nchini Tanzania, Jenista Mhagama amefariki dunia
Zaidi ya watu 1000 wameykimbia makazi yao Kordofanm Sudan, huku vita vikali vikiendelea
Trump atarajia viongozi wa dunia kujiunga na Bodi ya Amani ya Gaza hivi karibuni
Israel imeidhinisha takriban makazi 800 mapya haramu katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa
Urusi itajibu hatua ya kupelekwa kwa wanajeshi wa Ulaya nchini Ukraine: Lavrov
