
00:00
00:0000:00
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili, 11 Februari, 2025
Rais Trump wa Marekani anasema mpango wake wa kusafisha Gaza haujumuishi haki ya Wapalestina kurejea katika ardhi zao na Mkurugenzi Mtendaji wa OpenAI Sam Altman anakataa ofa ya Elon Musk ya kuinunua kampuni hiyo, badala yake kuongeza ofa ya kuinunua kampuni yake-X kwa pesa kidogo mara kumi.
Na Yusuf Dayo
Sikiliza zaidi