|
Swahili
|
Swahili
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Yusuf Dayo
Producer
Producer
Makala za Mwandishi
Kwanini kuanguka mtihani sio kuanguka maisha
Kutopata daraja halisi ulilotaka au kukosa nafasi ya kuingia Chuo Kikuu haimaanishi kuwa maisha yako ya baadaye yamefungwa.
4 dk kusoma
Afrika yajivunia mafanikio makubwa 2025
Kuanzia teknolojia, ubunifu, sanaa na uvumbuzi, mwaka wa 2025 umeona Waafrika wakijiunga kwenye mbio za kutafuta ushindi sio kuinua tu majina yao bali nchi za na hata bara kwa ujumla.
5 dk kusoma
Mitikisiko ya demokrasia na mapinduzi ya kijeshi Afrika: 2025
Katika Afrika Magharibi na Kati, maendeleo ya hivi majuzi ya kisiasa yameibua wasiwasi kuhusu utaratibu wa kikatiba na kanuni za kidemokrasia. ECOWAS imetangaza hali ya hatari ya kikanda ili kukabiliana na "wimbi hili la mapinduzi."
5 dk kusoma
Kwanini Afrika inatishiwa na 'utasa' licha ya kuwa na idadi inayokua zaidi duniani
Miongoni mwa changamoto kubwa za utasa ni kuwepo kwa shinikizo kutoka kwa jamii hasa kwa wanandoa.
5 dk kusoma
Ugonjwa wa Kichaa cha mbwa barani Afrika: Janga linaloendelea kuathiri maisha japo linaepukika
Ulimwenguni kote, kichaa cha mbwa huua takriban watu 59,000 kila mwaka, na karibu 95% ya vifo hivi hutokea Afrika na Asia.
4 dk kusoma
Hukumu ya kifo ya Jospeh Kabila inavyotikisa diplomasia na siasa ndani na nje ya DRC
Waangalizi wengi wa kimataifa na DRC wanasema kesi hiyo ilikuwa na muelekeo wa wazi wa kisiasa hivyo kuibua maswali kuhusu utaratibu unaostahili na utekelezwaji wa vyombo vya mahakama.
4 dk kusoma
Panda shuka ya Luhaga Mpina ndani ya siasa za Tanzania
Mwanasiasa huyo alijizoelea umaarufu kama mmoja wa makada wa CCM majasiri wanaposimama kutoa hoja zao.
3 dk kusoma
Kuna ulazima wowote kwa bibi harusi kuvaa shela jeupe?
Shela nyeupe ilianza kama ishara ya mtindo wa kifalme na likawa alama ya kitamaduni ya usafi na tabia njema. Hata hivyo, mambo yamebadilika.
4 dk kusoma
Katiba imesaidia vipi kuimarisha demokrasia nchini Kenya?
Kenya leo inaadhimisha miaka 15 tangu katiba mpya kuanzia kufanya kazi nchini humo. Licha ya haki ya kikatiba ya kujieleza, waandamanaji wa Gen Z nchini humo wamejikuta matatani na vyombo vya usalama waliotumia nguvu kupita kiasi.
5 dk kusoma
Mitindo ya ususi na historia ya ukombozi dhidi ya utumwa
Kulingana na wanahistoria, wakati mwingine, mistari ya misuko kichwani, iliashiria njia za siri za kukwepa mashamba ya wakoloni na wazungu waliomiliki watumwa.
3 dk kusoma