23 Februari 2026
Waziri wa Somalia asema wamefanikiwa kuwakata makali makamanda 17 wa al-shabaab katika kipindi cha miezi sita iliopita, Sudan yashtumu mapokezi ya kiongozi wa RSF nchini Uganda.