
00:00
00:0000:00
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili, 18 Februari, 2025
Wapalestina huko Gaza wanaadhimisha siku 500 za mateso, kufukuzwa na uharibifu wa Israeli, na UN inatafuta dola bilioni 6 kushughulikia mzozo wa kibinadamu unaozidi kuwa mbaya wa Sudan.
Na Yusuf Dayo
Sikiliza zaidi