9 Februari 2026
Vichwa vya habari:
Tundu Lissu amerudishwa tena mahakamani
Trump: Rais wa China Xi Jinping atatembelea Marekani
Mbunge wa Iran akosoa uwepo wa Mkuu wa Kamandi la Jeshi la Marekani katika mazungumzo ya nyuklia
Meya wa New York Mamdani asaini amri ya kuzuia ‘ICE’ kuingia New York bila kibali cha mahakama
Wanariadha wa Israel wazomewa katika ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki nchini Italia