|
Swahili
|
Swahili
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Coletta Wanjohi
Journalist
Journalist
Makala za Mwandishi
Sudan Kusini na maajabu ya uhamaji wa Swala
Uhamiaji wa swala nchini Sudan Kusini hufanyika kati ya mwezi Januari na Juni ya kila mwaka, ukihusisha swala wenye masikio na aina nyingine ya wanyama hao, ijulikanayo kama 'tiang'.
2 dk kusoma
Afrika yapambana na ukosefu wa chanjo ya Mpox, ugonjwa wa kipindupindu ukiongezeka
Hadi kufikia mwezi Julai 2025, Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Barani Afrika (Africa CDC) kilikuwa kimerekodi maambukizi 25,175 kutoka mataifa 23.
5 dk kusoma
Tanzania na maajabu ya mchanga unaohama ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro
Japo si rahisi kuona kwa macho namna mchanga huo unavyohama, lakini unaweza kubahatisha kuona jinsi unavyotiririka.
2 dk kusoma
Hawa ndio marais na viongozi wa Afrika waliozikwa nje ya nchi zao
Mahakama ya Afrika Kusini imeweka pingamizi kwenye mazishi ya rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu huku ikipanga kusikiliza tena kesi hiyo Agosti 4, mwaka huu.
3 dk kusoma
Kenya: Hatma ya maandamano ya Gen Z, mwaka mmoja baadaye
Licha ya jitahada na ahadi za kuleta mabadiliko, serikali ya Kenya bado inaendelea kukuna kichwa, baada ya rika la Gen Z, kuazimia kufanya mandamano mengine makubwa Juni 25, 2025, kupinga yale yale ambayo waliyoyapinga mwaka jana.
5 dk kusoma
Mizozo ya DRC na Sudan zachangia idadi kubwa ya wakimbizi Afrika
Zaidi ya watu milioni 45.4 wamelazimka kuhama makazi yao barani Afrika, kati ya hao, milioni 12.2 ni wakimbizi huku wengine 32.2 wakiwa wakimbizi wa ndani.
4 dk kusoma
Utajiri wa Afrika: Uzalishaji wa mafuta Afrika
Kulingana na Umoja wa Afrika, uzalishaji wa mafuta ghafi barani Afrika unakadiriwa kuwa karibu mapipa milioni 10 kwa siku, ikiwa ni sawa na asilimia 10 ya uzalishaji wa mafuta ghafi duniani.
3 dk kusoma
Hormuz, mlango wa bahari unaotishiwa na mashambulizi kati ya Iran na Israel
Mlango wa bahari wa Hormuz unaigawa Iran upande mmoja na Oman na Falme za Kiarabu kwa upande mwingine. Njia hii pia inaunganisha Ghuba ya Persia na Ghuba ya Oman na Bahari ya Arabia hadi Bahari ya Hindi.
3 dk kusoma
Utajiri wa Afrika: Misri, kinara wa ufugaji samaki
Sekta hii inakadriwa kuwa na thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.5 huku ikitoa ajira kwa zaidi ya watu 300,000.
2 dk kusoma
Utajiri wa Afrika: Wafahamu Sili wa kahawia kutoka Afrika Kusini
Kando ya pwani ya Namibia na pwani ya Magharibi na Kusini mwa Afrika Kusini, ndiko wanapopatikana sili wa kipekee, wenye manyoya ya kahawia.
2 dk kusoma
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13