|
Swahili
|
Swahili
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Nuri Aden
Producer TRT Afrika Swahili
Producer TRT Afrika Swahili
Makala za Mwandishi
Je, Tanzania ndio wafalme wapya wa Soka Afrika Mashariki?
Tanzania imevikwa taji hilo kwani Taifa Stars, ndio mwakilishi wa Afrika Mashariki AFCON, nao Yanga na Simba Afrika wamefuzu ligi ya Mabingwa CAF, huku kina dada JKT Queens wakiiwakilisha ukanda Kombe la Vilabu bingwa wanawake 2023.
10 DK KUSOMA
Kenya: Walinzi binafsi kuhitaji leseni na nambari za usajili kutoa huduma za usalama
Serikali ya Kenya imeanza kutoa nambari maalum, za kipekee, na leseni za kufanyia kazi kwa walinzi binafsi nchini humo wiki chache tu baada ya kuzindua mtaala sanifu wa mafunzo
2 DK KUSOMA
Mkwanja unaolipwa kwa mastaa wa Soka waliosajiliwa Saudi Arabia
Ronaldo, Benzema, Mane, Mahrez na Kante wametinga Jedda na Riyadh huku ligi kuu ya soka Saudi, maarufu Saudi Pro League ikiwavutia nyota wa soka kutoka vilabu maarufu duniani huku ikiwa ndio ligi inayowalipa wanasoka vyema zaidi.
3 DK KUSOMA
Marefa wa Kike kutoka Rwanda na Kenya waweka historia Kombe la Dunia la Wanawake Australia na New Zealand
Ureno iliilaza Vietnam 2-0 kwenye Uwanja wa Waikato kupitia mabao ya Telma Encarnacao na Kika Nazareth.
3 DK KUSOMA
Facebook, Telegram, TikTok na Youtube vyarejea Ethiopia
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameanza kupata fursa ya kutumia mitandao hayo moja kwa moja baada ya miezi mitano ya vikwazo, shirika linalofuatilia udhibiti mtandaoni, (OONI), limesema.
2 DK KUSOMA
Jinsi shule za Maarif zilivyoiweka Uturuki katika mioyo ya waafrika
Uturuki ilichukua hatua ya kuokoa ndoto za mamilioni ya watoto waliokuwa kwenye hatari ya fikra za kigaidi za kundi la FETO lililochafua mazingira ya elimu katika nchi mbalimbali tangu mwaka wa 1990, ilipoanzisha operesheni zake
9 DK KUSOMA
Siku ya Kiswahili yaadhimishwa kote duniani
Kwa kawaida, kila siku ya tarehe 7 Julai, hutumika kama siku ya Kimataifa ya kuadhimisha na kusheherekea lugha ya Kiswahili, lugha inayozungumzwa na takribani watu milioni 250 katika mataifa 13
4 DK KUSOMA
Somalia yakamata maafisa wa serikalini wanaohusika na ufisadi
Somalia yatoa hati za kukamatwa kwa maafisa wakuu 18 katika kile kinachoonekana kuwa mojawapo ya matukio makubwa ya ufisadi katika historia ya nchi hiyo.
2 DK KUSOMA
Tanzania: Kivutio bora cha Utalii Afrika, watalii wasema
Mbuga ya wanyama ya Tanzania, Serengeti imeteuliwa kuwa eneo bora zaidi ya kutalii Barani Afrika kwa mujibu wa matokeo ya tuzo za kila mwaka za Utalii za Tripadvisor
2 DK KUSOMA
Zuchu avunja rekodi YouTube
Msanii wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Zuchu, majina rasmi Zuhura Othman Soud, ameweka historia kupitia mziki wake kwa mara nyingine baada ya nyimbo zake kutazamwa mara nusu bilioni kwenye ukurasa wa YouTube.
3 DK KUSOMA
1
2
3
4