tokea masaa 16
00:00
00:0000:00
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili |03 Februari 2026
Vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa vya DRC vinatarajiwa kwenda Uvira kutathmini makubaliano ya kusitishwa mapigano, Wanajeshi watatu wa Libya, wauawa katika mpaka wa nchi hiyo na Niger.
Sikiliza zaidi