2 Februari 2026
00:00
00:0000:00
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika | Swahili 02 Februari 2026
Safari za ndege za ndani kuelekea uwanja wa ndege wa Khartoum zimeanza tena kwa mara ya kwanza tangu vita kuanza na Jeshi la Nigeria lamuua kamanda wa Boko Haram na wapiganaji kumi
Sikiliza zaidi