| Swahili
Dondoo za TRT Afrika | 18 Februari
00:00
00:0000:00
Ulimwengu
Dondoo za TRT Afrika | 18 Februari
Gabon yatangaza kufungwa kwa mitandao ya kijamii na Iran haijakubali masharti yote yaliowekwa na Rais Donald Trump.
tokea masaa 3

Vichwa vya habari:

  • Gabon yapiga marufuku mitandao ya kijamii

  • Iran haijakubali “masharti” yote yaliowekwa na Trump

  • Israel yatangaza kunyakua ardhi mpya ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa

  • Ukraine na Urusi kuendelea na mazungumzo ya amani na Marekani mjini Geneva

  • Canada yazindua mpango mpya wa ulinzi ili kupunguza kutegemea Marekani

Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | 17 Februari 2026
Janga la unene
Sura ya Waislamu katika Bollywood
Unaijua homa ya ndege?
Palestina ya Marekani
Lugha ya Hisia
Je, miaka ni nambari tu?
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Urithi wa Kiandalusia Umeishaje?