5 Januari 2026
Vichwa vya habari:
Trump atishia kuishambulia tena Venezuela, aonya kuhusu operesheni nyingine Colombia
Maduro wa Venezuela anatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya New York Jumatatu
Idadi ya vifo kutokana na mashambulizi ya Marekani nchini Venezuela mpaka sasa ni 80 - ripoti
Israel yaishambulia Lebanon, na kuuwa watu wawili licha ya kuwa na makubaliano ya kusitisha vita
Erdogan amwambia Mwanamfalme wa Saudi Arabia utulivu wa Yemen na Somalia ni muhimu
