| swahili
03:43
Ulimwengu
P Diddy na Masaibu Yake
Je huu ndio mwisho wa P Diddy? Tangu katikati ya Septemba jina la Puff Daddy au P Diddy limetawala vichwa vya habari kote duniani. Lakini sio kwa wema. Msanii huyo na gwiji wa muzuki wa rap Marekani anakabiliwa na shutuma nyingi ikiwemo ubakaji, unyanyasaji wa wasanii wengine, usaliti, na uhalifu wa kiuchumi. P Diddy amezuiliwa katika gereza mjini New York na amenyimwa dhamana.
4 Oktoba 2024
Tazama Video zaidi
Wanafunzi wasichana wapata mafunzo ya teknolojia nchini Kenya
Kenya na mabaki na makovu kutoka kwa mateso ya Malaika wa Kuzimu wa BATUK
Mali yapokea vifaa vya kijeshi kutoka Uturuki kwa ajili ya kupambana na ugaid
Morara Kebaso, wakili mwanaharakati nchini Kenya, anavyotumia mitandao ya kijamii kuikosoa serikali
Ushirikiano wa Uturuki na nchi za Kiafrika
Jumba la makumbusho ya Maradona
Je, unaijua ndoto ya 'Israeli Kubwa'?
Vimbunga, dhoruba za kitropiki na taifuni ni nini?
Malkia wa Taarab Khadija Kopa ni nani?
Holy Redemption: Kunyakua Ardhi ya Palestina