| swahili
UTURUKI
2 DK KUSOMA
Kulinda vijana dhidi ya itikadi kali ni jukumu letu sote — Erdogan
Kulingana na Rais Erdogan shabaha ya sera za kijinsia ni kushusha hadhi ya familia kama taasisi.
Kulinda vijana dhidi ya itikadi kali ni jukumu letu sote — Erdogan
Rais Erdogan alisema siku ya Jumatatu kuwa sera mbalimbali ikiwemo ile ya LGBT “zinatishia familia kama nguzo na taasisi imara."/Picha: AA
13 Januari 2025

Akizungumza katika shughuli ya “Mwaka wa Familia” jijini Ankara, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alisisitizia umuhimu wa kuwalinda vijana wadogo dhidi ya itikadi zenye kutishia uhai wa familia.

Rais Erdogan alisema siku ya Jumatatu kuwa sera mbalimbali ikiwemo ile ya LGBT “zinatishia familia kama nguzo na taasisi imara."

"Maudhui haya ambayo yanaletwa kwa makusudi kabisa yana lengo la kuyumbisha na kudhoofisha familia zetu," alisema Rais Erdogan.

Pia alisisitiza kuwa Uturuki ni kati ya nchi ambazo zimepigia kelele suala hilo katika kila jukwaa ikiwemo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

"Lengo la sera hizi ni kudhoofisha familia."

"Tutaendelea kuweka wazi msimamo wetu hata katika siku zijazo," aliongeza. "Bila kujali watu watasemaj, msimamo wa Uturuki uko bayana, hatutowahi kurudi nyuma."

Pata habari zaidi kupitia Whatsapp channels

CHANZO:TRT Afrika
Soma zaidi
Wanajeshi 20 wa Uturuki wauawa katika ajali ya ndege ya shehena ya kijeshi huko Georgia: wizara
Ndege ya kijeshi ya mizigo ya Uturuki yaanguka mpakani mwa Georgia na Azerbaijan ikiwa na watu 20
Uimarishaji wa Uturuki ni heshima na kumuenzi Ataturk: Erdogan
Uturuki inamkumbuka Ataturk miaka 87 baada ya kufariki
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki kuzuru Marekani siku ya Jumatatu
Rais Erdogan anatumai Marekani itatimiza ahadi zake kuhusu makubaliano ya ndege za kivita za F-35
Palestina inapongeza amri za kukamatwa dhidi ya maafisa 37 wa Israel kutoka Uturuki kama 'ushindi
Ujumbe wa Erdogan 'Azerbaijan haiko peke yake' ulipelekea ushindi wa Karabakh: Aliyev
Ushindi wa Karabakh wa Azerbaijan kwa amani ya Caucasus: Rais Erdogan
Uturuki yatoa hati ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu, juu ya mashtaka ya mauaji
Erdogan: Uturuki kuharakisha miradi ya kiulinzi kuimarisha ‘maslahi’ na washirika wa Ulaya
Uturuki kuandaa mazungumzo ya Gaza wiki ijayo kufuatia wasiwasi juu ya usitishaji mapigano – Fidan
Mfumo wa ulimwengu wa sasa unazingatia nguvu zaidi ya haki: Mkurugenzi wa TRT
Israel imeigeuza Gaza kuwa vifusi, inawezaji kuwa haina hatia: Erdogan
Uturuki yakashifu unafiki wa nchi za Magharibi kuhusu Gaza, yatoa wito wa mfumo mpya wa dunia
Hamas haina nuyklia, Israel iko nayo: Erdogan aitaka Berlin ichukue hatua kali dhidi ya Tel Aviv
Erdogan ataka kuona mabadiliko katika uhusiano na EU na ushirikiano wa kikanda alipokutana na Mertz
Ujerumani yatoa wito wa kuunda “ushirikiano wa kimkakati” ili kukabiliana na changamoto za kimataifa
"Marekebisho ya Ulimwengu": Jukwaa la 9 la TRT World kuanza Istanbul likiangazia majadiliano na haki
Erdogan ametangaza washindi wa Tuzo Kuu za Utamaduni na Sanaa za Urais mwaka 2025