SIASA
UTURUKI
AFRIKA
JARIDA
MAONI
MICHEZO
Edward Josaphat Qorro
Senior Editor
Senior Editor
Makala za Mwandishi
Salum Mwalimu kutoa ushindani kwa Samia?
Katika kampeni zake, Salum Mwalim ameweka mkazo kwenye sekta ya kilimo, akiahidi kuiongezea nguvu kwa nia ya kuongeza uzalishaji wa chakula na kuwezesha kuwa na uhakika wa chakula na mazao ya biashara.
2 dk kusoma
Kocha McCarthy kubeba matumaini ya ‘Harambee Stars’?
Wingi wa mashabiki wanaojaza uwanja wa Moi Kasarani, ni ushahidi tosha wa imani kubwa waliyonayo kwa McCarthy na kikosi chake.
2 dk kusoma
Ijue tofauti ya michuano ya CHAN na ile ya AFCON
Michuano ya CHAN 2024, inaandaliwa kwa pamoja na Tanzania, Kenya na Uganda.
2 dk kusoma
Biashara haramu ya usafirishaji punda inavyotawala mpakani wa Tanzania na Kenya
Takwimu za hivi karibuni zilizotolewa taasisi ya AIPWA, kila mwezi, punda wapatao 150 kutoka Tanzania, huingianchini Kenya kwa njia zisizo halali.
4 dk kusoma
Hii ndio 'serikali ya wazee' nchini Cameroon
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanadai kuwa, hali hii imetokea baada ya Rais Paul Biya wa nchi hiyo, kuondoa ukomo wa rais kukaa madarakani.
2 dk kusoma
Mfahamu Mfalme Mswati wa III kutoka Eswatini
Akiwa kama mtawala wa Eswatini, Mfalme Mswati wa III ana mamlaka ya kumteua Waziri Mkuu wa himaya hiyo, baraza la mawaziri na wafanyakazi wa mahakama, japo hana uwezo wa kumchagua mrithi wake.
2 dk kusoma
Koitalel Arap Samoei aendeleza alipoachia baba yake
Kwa kipindi cha zaidi 10, aliendesha mapambano dhidi ya vikosi vya Waingereza, hususani uwepo wa reli ya Uganda.
1 dk kusoma
Kimnyole Arap Turukat: Shujaa na mtabiri kutoka milima ya Nandi nchini Kenya
Jamii ya Wanandi ilisifika kama jeshi imara, chini ya uongozi wa Kimnyole, licha ya ugomvi wa mara kwa mara jamii ya Wamasai katika miaka ya 1870.
2 dk kusoma
Wafahamu wagombea nafasi ya ukurugenzi ndani ya WHO Afrika
Kifo cha Mtanzania, Dkt. Faustine Ndugulile, kililazimu nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, kupendekeza majina mapya ya wagombea ambao watawania nafasi iliyoachwa wazi na mtaalamu huyo wa afya.
2 dk kusoma
Kutana na watengeneza filamu kutoka Tanzania wanayoipeleka tasnia hiyo kimataifa
Kwa sasa, gumzo kubwa Afrika Mashariki na barani Afrika kwa ujumla, ni filamu ya Wa Milele?, ambayo imeibuka mshindi wa kipengele cha ‘Kipindi Bora cha Maisha Halisia’ katika tuzo za Africa Magic Viewers Choice (AMVCA).
2 dk kusoma